OLIMPIKI-BRAZIL 2016-RIADHA
Mashindano ya riadha kuanza kutimua vumbi Brazil
Mashindano ya riadha katika Michezo ya Olimpiki inayoendelea nchini Brazil, yanaaza kesho.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Matangazo ya kibiashara
Hii ndio ratiba kamili kwa saa za Afrika Mashariki:-
- 9:30 alasiri-Kurusha kitufe kufuzu kwa wanaume.
- 9:35 alasiri-Mita 100 Heptathlon kwa wanawake.
- 10:05 jioni -Mchezo wa Shot Put kwa wanawake.
- 10:10 jioni- Mita ya Mita 800 mzunguko wa 1 kwa wanaume .
- 10:50 jioni- Mchezo wa kuruka kwa wanawake.
- 11:10 jioni-Fainali ya mbio za Mita 10,000 kwa wanawake.
- 11:55 jioni- Mbio za Mita 100 kufuzu kwa wanawake.
- 2:30 usiku- Fainali ya Kilomita 20 kutembea kwa upande wa wanaume.
- 8:30 usiku-Mzunguko wa kwanza Mita 1500 kwa upande wa wanawake.
- 8:35 usiku- Kurusha Shot Put kwa upande wa wanawake.
- 8:40 usiku- Kurusha kitufe kwa upande wa wanawake kufuzu.
- 9:05 usiku- Mzunguko wa kwanza Mita 400 kwa wanaume.
- 9:20 usiku- Mashindano ya kufuzu ya kuruka kwa wanaume .
- 10:00 alfajiri- Fainali ya Shot put kwa wanawake .
- 10:05 alfajiri- Mchezo wa Heptathlon kwa wanawake Mita 200.
- 10:40 alfajiri- Mita 100 mzunguko wa kwanza kwa wanawake.
Jumamosi
- 9:30 alasiri- Mbio za Mita 100 mzunguko wa kwanza kwa wanaume .
- 9:40 alasiri- Mchezo wa kufuzu, Triple Jump.
- 10:05 jioni-Mzunguko wa kwanza kwa wanawake Mita 3000 kuzuka viunzi na maji.
- 10:50 jioni- Fainali ya kurusha kitufe kwa wanaume.
- 11:00 jioni-Mzunguko wa kwanza Mbio za Mita 400 kwa wanawake.
- 11:45 jioni- Kuruka kwa wanawake Heptathlon.
- 12:00 jioni-Mita 100 kwa wanaume mzunguko wa kwanza.
- 8:00 usiku- Mchezo wa kurusha wa Javelin kwa wanawake.
- 8:20 usiku-Mchezo wa kufuzu wa Pole Vault kwa upande wa wanaume .
- 8:30 usiku-Nusu fainali ya mbio za Mita 400 kwa wanaume.
- 8:53 usiku-Medali ya dhahabu katika mchezo wa kuruka Long Jump kwa wanaume.
- 9:00 usiku-Nusu fainali ya mbio za Mita 100 kwa upande wa wanawake.
- 9:27 usiku- Mbio za Mita 10,000 kwa upande wa wanaume.
- 10:08 alfajiri-Semi Fainali ya wanaume mbio za Mita 800.
- 10:37 alfajiri- Fainali ya mbio za Mita 100 kwa upande wa wanawake.
- 10:50 alfajiri-Medali ya dhahabu mashindano ya Heptathlon Mita 800 kwa upande wa wanawake.