Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

CAF: Michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

Imechapishwa:

Klabu ya soka ya TP Mazembe ambao ni mabingwa watetezi imeondolewa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kulemewa na Wydad Casablanca ya Morocco.Yanga na Azam FC za Tanzania pia zimeondolewa katika michuano hii mikubwa barani Afrika.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.