Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

KipKeino Classic: Mmarekani Kenneth Bednarek ashinda mbio za mita 100

Imechapishwa:

Tuliyokuandalia hii leo ni pamoja na matokeo ya riadha za KipKeino Classic, uchambuzi wa debi la Tanzania na Mashemeji nchini Kenya, mabondia 11 wa DRC wafuzu nusu fainali ya michuano ya African Boxing Cup, matokeo ya ligi ya basketboli Afrika mkondo wa Nile na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya

Kenneth Bednarek (kushoto), Ferdinand Omanyala (kati) na Barack Williams wakishindana kwenye mbio za mita 100 uwanjani Nyayo, Nairobi
Kenneth Bednarek (kushoto), Ferdinand Omanyala (kati) na Barack Williams wakishindana kwenye mbio za mita 100 uwanjani Nyayo, Nairobi © Athletics Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.