Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

CAF 2016:Michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Makala ya Jukwaa la Michezo tunajadili michuano ya soka hatua ya 16 ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika mwaka 2016. Mabingwa watetezi TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wako hatarini ya kuondolewa baada ya kufungwa na Wydad Casablanca ya Morocco mabao 2 kwa 1.

Wachezaji wa Azam FC wakisherehekea baada ya kuifunga Esperence de Tunis mabao 2 kwa 1
Wachezaji wa Azam FC wakisherehekea baada ya kuifunga Esperence de Tunis mabao 2 kwa 1
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.