Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mataifa 15 yafuzu kucheza kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwakani

Imechapishwa:

Hatimaye, mataifa 15 yamefuzu kucheza katika fainali ya mchezo wa soka kuwania taji la Afrika mapema mwaka ujao nchini Equitorial Guinea.Mataifa hayo ni pamoja na wenyeji Equitorial Guinea, Ghana, Zambia, Burkina Faso, Ivory Coast, Mali, Tunisia,Algeria, Cape Verde, South Africa, Gabon , DR Congo Cameroon ,Senegal, Guinea na Congo. 

Côte d'Ivoire ikimenyana na Sierra Leone katika mechi ya kufuzu kuelekea Equitorial Guinea
Côte d'Ivoire ikimenyana na Sierra Leone katika mechi ya kufuzu kuelekea Equitorial Guinea REUTERS/Luc Gnago
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.