Pata taarifa kuu

Gaza: UNSC kukutana tena kuhusu azimio la kusitisha mapigano

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura Jumanne hii, Desemba 19, kuhusu nakala mpya inayotaka "kusitishwa kwa haraka na kudumu kwa mapigano" huko Gaza, kura iliyopangwa kufanyikasiku ya Jumatatu. 

Wapalestina wakikagua vifusi vya majengo yaliyoharibiwa na kuchomwa moto baada ya mashambulizi ya Israel usiku kucha kuanzia usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne, Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, Desemba 19, 2023.
Wapalestina wakikagua vifusi vya majengo yaliyoharibiwa na kuchomwa moto baada ya mashambulizi ya Israel usiku kucha kuanzia usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne, Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, Desemba 19, 2023. © MAHMUD HAMS / AFP
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.