Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kipimo cha Demokrasia nchini Zimbabwe, huku wananchi wakipiga kura

Imechapishwa:

Wananchi wa Zimbabwe, wanapiga kura kumchagua rais na wabunge. Rais Emmerson Dambudzo Mnangagwa 80, anapambana na mgombea wake mkuu Nelson Chamisa, 45. Nini hatima ya demokrasia nchini Zimbabwe ? Tunajadili kipimo cha demokrasia katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika.

Wagombea wakuu wa urais nchini Zimbabwe, rais na wabunge. Rais Emmerson  Mnangagwa (Kushoto) na  Nelson Chamisa (Kulia).
Wagombea wakuu wa urais nchini Zimbabwe, rais na wabunge. Rais Emmerson Mnangagwa (Kushoto) na Nelson Chamisa (Kulia). Jekesai NJIKIZANA, Ahmed OULD MOHAMED OULD ELHADJ / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.