Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mwaka mmoja wa mapigano nchini Sudan kati ya jeshi la serikali na RSF

Imechapishwa:

Wiki hii, ilikuwa ni mwaka mmoja wa vita nchini Sudan, kati ya jeshi la taifa chini ya Jenerali  Abdel Fattah al-Burhan na wanamgambo wa RSF wanaongozwa na Jenerali Mohammed Hamdan Dagalo.

Kiongozi wa Jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na mwenzake wa RSF Mohamed Hamdan Daglo .
Kiongozi wa Jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na mwenzake wa RSF Mohamed Hamdan Daglo . © AP Photo - Montage RFI
Matangazo ya kibiashara

Mwaka mmoja baadaye, vita vimeendelea na kusababisha vifo vya maelfu ya watu, huku wengine Milioni 8.5 wakiyakimbia makaazi yao wakiwemo Milioni 1.8 waliokwenda kutafuta hifadhi katika nchi jirani kama Chad.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.