Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais E. Macron huko Israel, mapigano mashari mwa DRC, siasa za Kenya

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron  huko Israeli, maombi kutaka bunge liidhinishe mpango wa kutumwa kwa askari wake elfu 1 nchini Haiti, hali ya kisiasa na usalama huko DRC, nchini Sudan, lakini pia hali tete ya kiafya ya kinara wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani. Ungana na mwanahabari wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, kulia, akikaribishwa na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas, Jumanne, Oktoba 24, 2023 huko Ramallah, Ukingo wa Magharibi. (Picha ya AP/Christophe Ena)
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, kulia, akikaribishwa na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas, Jumanne, Oktoba 24, 2023 huko Ramallah, Ukingo wa Magharibi. (Picha ya AP/Christophe Ena) AP - Christophe Ena
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.