Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mashambulio ya Gaza huko Israeli, siasa za DRC, Kenya na Burundi na mengineyo

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia ziara ya rais wa Marekani Joe Biden huko Israeli, kuuawa kwa watalii huko Uganda mpakani na DRC, siasa za Kenya na siku ya mashujaa iliyoadhimishwa oktoba 20, hali ya kisiasa na usalama huko DRC, Burundi na nchini Sudan lakini pia ziara ya rais wa Chad nchini Ufaransa, na matukio mengine mengi ya wiki hii duniani.

Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa Israeli
Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa Israeli via REUTERS - POOL
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.