Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kikosi cha EAC chaongezewa muda wa kuhudumu DRC, mapigano yaendelea Sudan

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya viongozi wa Jumuia ya Afrika mashariki kukiongezea muda wa miezi sita kikosi cha Jumuia hiyo kuhudumu kwa ajili ya kupatikana kwa amani ya mashriki mwa DRC, nchi za magharibi na Marekani zasikitikia hatua ya Uganda kupinga Ushoga, ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi Lavrov jijini Bujumbura Burundi, hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, lakini pia yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi na mkutano wa Moldova na mapigano ya Ukraine. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Wanajeshi wa kikosi cha Jumuia ya Afrika mashariki kutoka Sudani Kusini, wakijiandaa kupelekwa DRC. Desemba 28, 2022
Wanajeshi wa kikosi cha Jumuia ya Afrika mashariki kutoka Sudani Kusini, wakijiandaa kupelekwa DRC. Desemba 28, 2022 AP - Ben Curtis
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.