Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi China, mradi wa umeme wa Uganda na Tanzania

Imechapishwa:

Katika makala ya yaliyojiri wiki hii, tunaangazia habari kuu za dunia, matukio ya wiki hii ikiwa ni pamoja na  ziara ya rais wa DRC Felix Tshisekedi huko China, Uganda na Tanzania zilizindua bwawa la pamoja la kuzalisha umeme wa megawati 16, katika mto Kagera eneo la Kikagati, miaka 60 tangu kuundwa kwa Umoja wa Afrika AU, hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, lakini pia eneo la Afrika magharibi na mapigano ya Ukraine ni miongoni mwa mengi yaliyomo

Rais wa Jamhuri ya Kongo Felix Tshisekedi, kulia na Rais wa China Xi Jinping wakihudhuria hafla ya kuwakaribisha katika Ukumbi Mkuu wa Watu huko Beijing, China, Ijumaa, Mei 26, 2023
Rais wa Jamhuri ya Kongo Felix Tshisekedi, kulia na Rais wa China Xi Jinping wakihudhuria hafla ya kuwakaribisha katika Ukumbi Mkuu wa Watu huko Beijing, China, Ijumaa, Mei 26, 2023 AP - Thomas Peter
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.