Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Dunia yakaribisha mwaka mpya chini ya maambukizi ya kirusi cha Omicron, uasi wazidi DRC

Imechapishwa:

Makala ya juma hili imeangazia namna ambavyo dunia imeukaribisha mwaka mpya wa 2022 huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya kirusi kipya kilichopewa jina la Omicron hasa zaidi kwenye mataifa ya bara la Ulaya, Marekani na penginepo; pamoja na mambo mengine mengi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata maelezo kamili.

Idadi ya waliolazwa hospitalini kutokana na maambukizi ya kirusi kipya cha Omicron nchini Italia inaongezeka. Pichani mgonjwa akipatiwa matibabu
Idadi ya waliolazwa hospitalini kutokana na maambukizi ya kirusi kipya cha Omicron nchini Italia inaongezeka. Pichani mgonjwa akipatiwa matibabu Alberto PIZZOLI AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.