Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Umuhimu wa kujifunza lugha mama na changamoto zake katika maisha ya kila siku

Imechapishwa:

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anazungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza lugha Mama, wakati huu shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni Unesco likiwa na wasiwasi wa kutokewa kwa zaidi ya lugha mama zaidi ya 3000.

Wachuuzi wa barabarani wanaouza vipande vya miwa wakitafuta wateja huku madereva wakivuka barabara iliyofurika baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Nairobi, Machi 23, 2023.
Wachuuzi wa barabarani wanaouza vipande vya miwa wakitafuta wateja huku madereva wakivuka barabara iliyofurika baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Nairobi, Machi 23, 2023. AFP - SIMON MAINA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.