Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Utamaduni wa watu wa kabila la wabembe na mwanamuziki Naza kutoka Ufaransa

Imechapishwa:

Makala haya Changu chako Chako Changu, Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu amezungumza na Mzee Ebengela Saleh kuotka huko mashariki mwa DRC kuzungumzia kuhusu Historia na Tamaduni za watu wa Kabila la Wabembe. Utapata pia kumfahamu mwanamuziki kutoka Ufaransa mwenye asili ya DRC na Congo Brazaville Naza. Ambatana na mtangazaji wako na usikosi kumfollow kwa Instagram kwa kubonyeza hapa. @billy_bilali

Msanii Naza
Msanii Naza © Naza facebook
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.