Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Utamaduni wa kupenda kujifunza lugha na msanii kutoka Burundi Mistachampagne

Imechapishwa:

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na vijana wanafunzi na waalimu wa lugha ya kifaransa kuangazia utamaduni wa kujifunza lugha hususan lugha ya Kifaransa, wakati kwenye kipengele cha Muziki amempokea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Mistachampagne ambae anazuri jiji la Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki.

Mtangazaji Ali Bilali ndani ya studio za RFI Kiswahili na msanii kutoka Burundi Mistachampagne.
Mtangazaji Ali Bilali ndani ya studio za RFI Kiswahili na msanii kutoka Burundi Mistachampagne. © @rfikiswahili
Matangazo ya kibiashara

Usikosi pia kumfollow mtangazaji wako asiependa makuu @billy_bilali

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.