Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Hofu ya wananchi kuzuru Jumba la Makumbusho ya Kolwezi kisa uwepo wa mizimu

Imechapishwa:

Ni furaha kubwa kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo leo naungana na mwenzangu Denise Maheho kukujuza kuhusu jumba la makumbusho la huko Kolwezi, na kwenye le parler francophone nitakujuza kuhusu shughuli za utamaduni kwenye vituo vya Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muzki nitakuletea mwanamuziki Diamond Plantnumz ambae juma hili ameadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

Jumba la makumbusho la Kolwezi
Jumba la makumbusho la Kolwezi Β© zoometrezoom
Matangazo ya kibiashara
Msanii kutoka nchini Tanzania Diamond Platnumz
Msanii kutoka nchini Tanzania Diamond Platnumz Β© @diamond Platnum
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.