Pata taarifa kuu

Tunisia: Rais Kaïs Saïed analaani waliohusika katika kutoroka kwa wafungwa watano

Rais wa Tunisia Kaïs Saïed alizungumza Jumatano kuhusu kuhusika na "operesheni iliyopangwa kwa miezi kadhaa" siku moja baada ya kutoroka kwa watu watano, walikuwa wanaofungwa katika jela yeye ulinz mkali zaidi nchini Tunisia kwa kuhusika kwao katika mashambulizi ya "kigaidi".

Kulingana na Rais Kaïs Saïed, kuna baadhi ya watu waliohusika ambao hakuwatambua, wakiwa na nia ya "kuhatariha usalama wa nchini, kwa kushirikiana na makundi ya Kizayuni na makundi mengine ya watu wakiwa ndani ya nchi".
Kulingana na Rais Kaïs Saïed, kuna baadhi ya watu waliohusika ambao hakuwatambua, wakiwa na nia ya "kuhatariha usalama wa nchini, kwa kushirikiana na makundi ya Kizayuni na makundi mengine ya watu wakiwa ndani ya nchi". REUTERS - POOL New
Matangazo ya kibiashara

"Operesheni iliyopangwa jana haikuwa ya kutoroka. Ushahidi tuliokusanya unaonyesha kuwa operesheni hiyo ilikuwa imepangwa kwa miezi kadhaa," amesema Kaïs Saïed kwenye video, wakati wa mkutano na Waziri wake wa Mambo ya Ndani, Kamel Feki.

"Kilichotokea hakikubaliki, ni kushindwa kwa vyombo vya usalama na baadhi ya watu na lazima washtakiwe," ameongeza. Kulingana na Rais Kaïs Saïed, kuna baadhi ya watu waliohusika ambao hakuwatambua, wakiwa na nia ya "kuhatariha usalama wa nchini, kwa kushirikiana na makundi ya Kizayuni na makundi mengine ya watu wakiwa ndani ya nchi".

Baada ya kutoroka kutoka gereza la Mornaguia,lenye ulinzi mlaki zaidi nchini Tunisia, viongozi wawili wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, akiwemo mkurugenzi wa upelelezi, na mkurugenzi wa gereza hilo, anayehusishwa na Wizara ya Sheria, wamefukuzwa kazi.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.