Pata taarifa kuu
DRC-USALAMA

UN yahusisha makundi ya waasi na maafisa wa usalama kwa mauaji Mashariki mwa DRC

Umoja wa Mataifa unasema mauaji ya raia yanayoendelea kuripotiwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yanasababishwa na makundi ya waasi lakini pia maafisa wa usalama.

Askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) wakipiga doria katika kijiji cha Kaswara, kilomita 60 kusini magharibi mwa Bunia, katika mkoa wa Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Julai 14, 2006.
Askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) wakipiga doria katika kijiji cha Kaswara, kilomita 60 kusini magharibi mwa Bunia, katika mkoa wa Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Julai 14, 2006. REUTERS
Matangazo ya kibiashara

Kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita, Tume ya Pamoja ya Haki za Binadamu katika Umoja huo inasema, raia 293 wakiwemo wanawake 63 na watoto 24 waliuawa.

Aidha, MONUSCO inasema kwa mwezi wa Agosti pekee, visa 739 vya ukiukwaji wa haki za binadamu viliripotiwa Mashariki mwa nchi hiyo, ikilinganishwa na 492 mwezi Julai.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.