Pata taarifa kuu

Ufaransa yapeleka makombora ya Scalp kwa Ukraine, ambayo ni nyenzo ya mashambulizi makubwa

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza siku ya Jumanne, siku ya kwanza ya mkutano wa kilele wa NATO, kwamba Ufaransa itapeleka makombora ya masafa marefu ya Scalp kwa Ukraine.

Kombora la Scalp.
Kombora la Scalp. REUTERS - BENOIT TESSIER
Matangazo ya kibiashara

Baada ya Uingereza, Paris, kwa upande wake, itatuma silaha nyeti ambazo zitawapa vikosi vya Ukraine uwezo wa kushambulia zaidi.

Katika vita ambayo kumeendelea kuwa shwari katika uwanja wa vita katika miezi ya hivi karibuni licha ya juhudi za hivi majuzi za mashambulizi, mabomu ya Scalp ni mali isiyopingika kwa Ukraine. Makombora haya ya kusafiri kwa umbali wa kilomita 250 itaruhusu kyiv kugonga nyuma vya Urusi, mistari ya vifaa na juu ya vituo vyote vya amri.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.