Pata taarifa kuu

Ukraine yataka adai silaha zaidi kutoka nchi za Magharibi

"Baadhi ya washirika huepuka kutoa silaha zinazohitajika kwa hofu ya kuongezeka kwa mzozo nchini Ukraine. Urusi tayari inatumia silaha kali za kivita zisizo za nyuklia, kuwachoma watu wakiwa hai.

Wanajeshi wa Ukraine wanashika doria katika eneo moja karibu na uwanja wa vita katika eneo la Donetsk mnamo Mei 26, 2022.
Wanajeshi wa Ukraine wanashika doria katika eneo moja karibu na uwanja wa vita katika eneo la Donetsk mnamo Mei 26, 2022. REUTERS - STRINGER
Matangazo ya kibiashara

Labda ni wakati (...) wa kutupa (vifaa muhimu kama vile mitambo ya kurusha roketi nyingi kwa wakati mmoja) MLRS? alimeamdika kzwenye ukurasa wake wa Twitter Mykhaïlo Podoliak, mshauri wa rais wa Ukraine.

Urusi kuwatimua wanadiplomasia watano wa Croatia

Siku ya Urusi ilitangaza kuwafukuza wanadiplomasia watano wa Croatia kwa kulipiza kisasi kwa Warusi 24 waliotimuliwa mna mamlaka ya nchi hiyo, hatua iliyochukuliwa mnamo Aprili na Zagreb, baada ya kuanzishwa kwa mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema "inapingana na" balozi wa Croatia dhidi ya madai kwamba nchi yake iliishutumu Urusi kwa "uhalifu wa kivita nchini Ukraine". Pia inamshutumu Zagreb "kuunga mkono kijeshi utawala wa Kinazi  huko Kyiv".

Nchi kadhaa zimewafukuza wanadiplomasia wa Urusi, hasa barani Ulaya, tangu Kremlin ilipovamia Ukraine mnamo Februari 24. Vikwazo vingi pia vinaikabili Urusi. Rais wa Urusi Vladimir Putin alihalalisha shambulio dhidi ya Ukraine kwa hitaji la "kuikana" nchi hii na kuwalinda watu wanaozungumza Kirusi mashariki mwa nchi hiyo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.