Pata taarifa kuu
UFARANSA-UGAIDI-USALAMA

Muswada wa kupambana na ugaidi wafikishwa bungeni Ufaransa

Wabunge wa Ufaransa wanaendelea na mjadala kuhusu muswada tata wa serikali wa kupambana na ugaidi.

Kwa wakosoaji wa muswada wa kupambana na ugaidi, pesa iliyotumika kufadhili Operesheni Sentinel inaweza kupelekwa kwenye idara za ujasusi.
Kwa wakosoaji wa muswada wa kupambana na ugaidi, pesa iliyotumika kufadhili Operesheni Sentinel inaweza kupelekwa kwenye idara za ujasusi. Michel Euler / POOL / AFP
Matangazo ya kibiashara

Nakala hii itabadilisha, tarehe 1 Novemba mwaka huu, mfumo wa maalum wa hali ya hatari unaotekelezwa tangu mashambulizi ya mwezi Novemba mwaka 2015 nchini Ufaransa, kwa kuendeleza na kuingiza katika sheria ya kawaida baadhi ya hatua zake.

Nakala hii iliyopitishwa na Baraza la Seneti mwezi Julai, itawasilishwa kwa kura ya wabunge tarehe 3 Oktoba. "Ufaransa hawezi kuishi daima chini ya utawala mfumo maalum wa hali ya hatari ambao huathiri ushawishi wake," Waziri wa Mambo ya Ndani, Gérard Collomb, ameeleza. Lakini kama "tishio bado ni mkubwa", na "mashambulizi kumi na mbili yalitibuliwa tangu mwanzoni mwa mwaka," muswada ihuo utarejelea "hatua madhubuti zaidi," Bw Collomb amesema.

Hatua hizi zimeelekezwa kwa watu anyetuhumiwa kuwa na uhusiano au ushirikiano na kundi lolote la kigaidi. Waziri naweza akaomba mtu kuzuiliwa eneo moja kwenda jingine hata kama atakua hana vielelezo vya kustosha kwa kumfungulia mashitaka mahakamani, lakini katika eneo angalau lililo sawa na wilaya, badala ya nyumba moja. Mtu aliyetakiwa kusalia sehemi moja anapaswa kuripoti mbele ya polisi mara moja kwa wiki, badala ya tatu kwa leo. Msako uliyopewa jina "ziara" , unaweza kuagizwa kwa viongozi wa jiji, lakini kwa idhini ya jaji.

Hata hivyo nakala hii imechukuliwa na wabunge kutoka mrengo wa kulia kuwa haitoshi. Wabunge hao wanabaini kwamba watu wanaoshukiwa msimamo mkali sanapaswa kuzuiliwa kwa muda. Chama cha mrengo wa kushoto La France Insoumise na Wakomunisti wa wana msimamo ulio tofauti wakidai kuwa "mfumo wa hali ya hatai ya kudumu" inatishiauhuru wa mtu binafsi.

Nakala yapingwa

Nakala hii imepingwa vikali na mashirika kadhaa, ikiwa ni pamoja Amnesty International kutoka France, shirika la Haki za Binadamu au Umoja wa majaji (DM), lakini watu pia watetezi wa hai za binadamu kama Ja

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.