Pata taarifa kuu

AFCON 2024: Cameroon yaiburuza Gambia na kufuzu katika hatua ya 16 bora

Cameroon imeishinda Gambia (3-2) katika mechi kali na kufuzu kwa hatua ya 16 bora ya Kombe la Afrika (AFCON) siku ya Jumanne huko Bouaké.

Cameroon walazimika kusubiri hadi dakika ya 91 kupata ushindi wa uhakika dhidi ya Gambia.
Cameroon walazimika kusubiri hadi dakika ya 91 kupata ushindi wa uhakika dhidi ya Gambia. © AFP
Matangazo ya kibiashara

 

Simba wa Nyika walio na idadi sawa ya pointi (4) na tofauti ya mabao sawa na Guinea (-1) imemaliza ya pili kwa idadi ya mabao ya kufunga (5 dhidi ya 2). Gambia imeondolewa.

Karl Toko-Ekambi (katka dakika ya 56), James Gomez bao la kujifunga (katika dakika ya 87) na Christopher Wooh (katika dakika ya 90+1) walifungia Cameroon, dhidi ya mabao ya Ablie Jallow (katika dakika ya 72) na Ebrima Colley (katika dakika ya 85) waliofungia Gambia.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.