Pata taarifa kuu

Kombe la dunia: Kocha wa Nigeria ana matumaini na kikosi chake

Nairobi – Kocha wa timu ya wanawake ya Nigeria, Randy Waldrum anasema anaamini timu yake inaelekea kupata kitu kizuru kwenye michuano ya soka ya kombe la dunia inayoendelea, baada ya wawakilishi hao wa Afrika kufika katika hatua ya 16 bora. 

Kauli hii imekuja baada ya Nigeria jana kutofungana na Ireland katika mechi ya kundi B. Matokeo mengine ya kundi hilo, Australia iliifunga Canada mabao 4 kwa 0. 
Kauli hii imekuja baada ya Nigeria jana kutofungana na Ireland katika mechi ya kundi B. Matokeo mengine ya kundi hilo, Australia iliifunga Canada mabao 4 kwa 0.  Getty Images - Brad Smith/ISI Photos
Matangazo ya kibiashara

Kauli hii imekuja baada ya Nigeria jana kutofungana na Ireland katika mechi ya kundi B. Matokeo mengine ya kundi hilo, Australia iliifunga Canada mabao 4 kwa 0. 

Wawakilishi wengine wa Afrika Zambia, nao wamepata ushindi wao wa kwanza katika mashindano hayo baada ya kuishinda Coasta Rica mabao 3 kwa 1. Japan nayo iliishinda Hispania mabao 4 kwa 0. 

Michuano hiyo inaendelea leo, China itachuana na Uingereza, huku Haiti ikimenyana na Denmark katika mechi za kundi D. 

Ureno nayo itapambana na mabingwa watetezi Marekani katika mchuano wa kundi E. 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.