Pata taarifa kuu

Tenisi: Mswizi Roger Federer atangaza kustaafu

Gwiji wa tenisi, Roger Federer wa Uswisi, ametangaza kustaafu mnamo Septemba 15, 2022 katika taarifa kwa vyombo vya habari mwishoni mwa michuano ya Kombe la Laver, ambayo itapigwa jijini London kuanzia Septemba 23 hadi 25. "Nimecheza zaidi ya mechi 1,500 katika miaka 24, amesema katika taarifa mchezaji huyo ana mataji 20 katika mashindano ya Grand Slam. Lazima nitambue wakati umefika wa kumaliza kazi yangu ya ushindani.Taarifa zaidi zinakuja,..

Roger Federer akimenyana dhidi ya Rafael Nadal, wakati wa “The Match in Africa”, Februari 7, 2020.
Roger Federer akimenyana dhidi ya Rafael Nadal, wakati wa “The Match in Africa”, Februari 7, 2020. REUTERS/Mike Hutchings
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.