Pata taarifa kuu

NBA: Golden State Warriors washinda taji la mchezo wa Kikapu

Klabu ya Golden State Warriors imeshinda taji la msimu huu la mchezo wa Kikapu kuwania ligi ya NBA nchini Marekani baada ya kuishinda Boston Celtics kwa vikapu 103 kwa 90.

Mlinzi wa pointi wa Golden State Warriors Stephen Curry, katikati, akiwa ameshikilia kombe la ubingwa wa NBA akiwa na wachezaji wenzake baada ya kuwashinda Boston Celtics katika Mchezo wa 6 wa Fainali za NBA, Alhamisi, Juni 16, 2022, mjini Boston.
Mlinzi wa pointi wa Golden State Warriors Stephen Curry, katikati, akiwa ameshikilia kombe la ubingwa wa NBA akiwa na wachezaji wenzake baada ya kuwashinda Boston Celtics katika Mchezo wa 6 wa Fainali za NBA, Alhamisi, Juni 16, 2022, mjini Boston. AP - Michael Dwyer
Matangazo ya kibiashara

Hili ni taji la saba la NBA kwa klabu ya Golden State Warriors kutoka jiji la San Francisco. 

Rais wa Rwanda Paul Kagame, kwenye ukurasa wake wa Twitter, amepongeza ushindi huo na kusema klabu yake imeshinda. 

 Washindi wa zamani 

    2022: Golden State Warriors 

   2021: Milwaukee Bucks 

   2020: Los Angeles Lakers 

   2019: Toronto Raptors 

   2018: Golden State Warriors 

   2017: Golden State Warriors 

   2016: Cleveland Cavaliers 

   2015: Golden State Warriors 

   2014: San Antonio Spurs 

   2013: Miami Heat 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.