Pata taarifa kuu

Roland-Garros: Iga Swiatek ashinda taji la pili dhidi ya Coco Gauff

Iga Swiatek ambaye alitunukiwa mwaka 2020 huko Paris, ameshinda mashindano ya Roland-Garros kwa mara ya pili Jumamosi Juni 4.

Mchezaji wa Poland Iga Swiatek katika fainali ya mashindano ya Roland-Garros dhidi ya Mmarekani Coco Gauff, Juni 4, 2022.
Mchezaji wa Poland Iga Swiatek katika fainali ya mashindano ya Roland-Garros dhidi ya Mmarekani Coco Gauff, Juni 4, 2022. © Pierre René-Worms, RFI
Matangazo ya kibiashara

Raia huyo kutoka Poland, ambaye ni bingwa wa dunia, ameonyesha umahiri wake dhidi ya Mmarekani Coco Gauff. Almeshinda kwa seti mbili (6-1, 6-3) na muda mfupi wa mchezo. Iga Swiatek ameshinda mashindano ya Paris kwa mara ya pili.

Taarifa zaidi zakujia

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.