Pata taarifa kuu
UINGEREZA

Klabu zitakazomenyana hatua ya nusu fainali kuwania taji la Carabao zafahamika

Nchini Uingereza, Arsenal itamenyana na Liverpol katika hatua ya nusu fainali kuwania taji la Carabao.

Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea ushindi wa mechi iliyopita
Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea ushindi wa mechi iliyopita Ben STANSALL AFP
Matangazo ya kibiashara

Katika nusu fainali nyingine, Chelsea itamenyana na Tottenham Hotspurs, mechi ambayo itakuwa kama fainali ya mwaka 2015 wakati timu hizi zilikutana na The Blues wakaibuka mabingwa kwa kuishinda Spurs mabao 2-0.

Mechi hizo za nusu fainali zitachezwa nyumbani na ugenini mwanzoni na katikati ya mwezi Januari huku fainali ikipigwa Februari 27 katika uwanja wa Wembley.

Matokeo ya michuano ya robo fainali

Arsenal 5-1 Sunderland

Brentford 0-2 Chelsea

Liverpool 5-4 Leicester City

Tottenham Hotspurs 2-1 West Ham United

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.