Pata taarifa kuu
FIFA-URUGUAY-UFISADI

Maafisa wa Fifa waendelea kukumbwa na kizungumkuti

Makamu wa rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Eugenio Figueredo raia wa Uruguay amewekwa jela nchini Marekani wakati huu akisubiri kufunguliwa mashtaka kwa tuhma za ufisadi.

Nembo ya Shirikisho la kimataifa la Soka (FIFA) mbele ya shirikisho hilo mjini Zuric Oktoba 8, 2015.
Nembo ya Shirikisho la kimataifa la Soka (FIFA) mbele ya shirikisho hilo mjini Zuric Oktoba 8, 2015. AFP/AFP/Archives
Matangazo ya kibiashara

Figueredo mwenye umri wa miaka 87 aliwekwa jela baada ya kusafirsihwa kutoka nchini Uswizi hapo jana.

Aliwahi pia kuwa rais wa Shirikisho la soka katika bara la America Kusini na miongoni mwa viongozi wa soka wa FIFA waliokamtwa jijini Zurich.

Wakili wa Figueredo anasema mteja wake huenda akapewa kifugo cha nyumbani na ikiwa atapatikana na hatia atafungwa jela miaka 15.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.