WADA yawachunguza baadhi ya wachezaji wanaotumia madawa ya kusisimu mwili
Urusi ni miongoni mwa nchi sita zilizoorodheswa na Shirika la Kimataifa linalopambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwili kwa wachezaji WADA kutofuata masharti ya Shirika hilo.
Imechapishwa:
Urusi imeorodheshwa pamoja na Argentina, Ukraine, Bolivia, Andorra na Israel.
Hata hivyo, Brazil, Ubelgiji, Ufaransa, Ugiriki, Mexico na Uhispani zinachunguzwa na Shirika hili na kutakuwa kuheshimu masharti wanayopewa kufikia mwezi Machi mwaka 2016 la sivyo waorodheswe kama nchi zinazoheshimu kazi ya WADA.
Nalo Shirkisho la riadha nchini Kenya limetakiwa kutoa maelezo ya kina kuhusu namna linavyopambana na matumizi ya dawa za kuongeza dawa mwilini kwa wanaridha wao la sivyo liorodheswe katika orodha hiyo.