Pata taarifa kuu
TENIS-Federer-Ufaransa-Uswisi

Kivuli chatanda juu ya Federer kabla ya fainali kati ya Ufaransa na Uswisi

Katika Tennis, Roger Federer alijiondoa katika fainali ya mashindano ya Kimataifa ya ATP World Tour dhidi ya Novak Djokovich kwa sababu ya jeraha la mgongo.

Roger Federer, raia wa Uswisi, akitangaza kujiondoa katika fainali ya mashindano ya Kimataifa ya ATP World Tour.
Roger Federer, raia wa Uswisi, akitangaza kujiondoa katika fainali ya mashindano ya Kimataifa ya ATP World Tour. REUTERS/Dylan Martinez
Matangazo ya kibiashara

Roger Federer mwenye umri wa miaka 33 raia Uswisi, amewaomba radhi mashabiki wake duniani kwa kushindwa kuendelea na mashindano hayo.

Siku ya Jumamosi alimshinda Stanslus Wawrinka kwa seti za
4-6 7-5 7-6 (8-6) katika mechi ya nusu fainali, ambayo ilidumu kwa muda wa saa mbli na sakika 48.

Kujiondoa huko kulimpa ubingwa wa ATP, Mserbia Novak Djokovic ambaye sasa ameshinda taji hili mara tatu mfululizo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.