Pata taarifa kuu
Tennis

Shirikisho la mchezo wa Tennis duniani ATP latowa orodha mpya ya viwango vya mchezho huo

Mserbia Novak Djokovic licha ya kushinda michuano ya Masters 1000 jijini Shangai, amesalia kuwa numberi mbili wa uborta duniani chini ya Mswisi Roger Federer bingwa numberi moja dunia kwa mujibu wa tolea mpya la mashindano ya kimataifa ya Tennis ATP.

Novac Djokovic na Roger Federer
Novac Djokovic na Roger Federer
Matangazo ya kibiashara

Djokovic alimshinda jana mwingereza Andy Murray kwa seti 5-7,7-6, 6-3 na hivyo kushinda taji la 13 la Masters 1000 ambapo anataraji kumvua ubingwa Roger Federer ambae aliondolewa kwenye nusu fainali ya michuano ya Shangai.

Mabadiliko yaliojitokeza kwenye orodha ya kumi bora katika mchezo wa Tennis unahusu mchezaji wa Tschekoslovakia Tomas Berdych na Mfaransa Jo-Wilfried Tsonga ambao mmoja amekuwa number 6 na mwingine numba 7.
Berdych alimshinda bingwa numba moja wa Ufaransa kwenye robo fainali ya michuano ya Shanghai.

Mjerumani Tommy Haas mwenye umri wa miaka 34 bingwa numba 2 wa zamani amerejea kwenye orodha ya ishirini bora baada ya kufika kwenye robo fainali ya michuano ya Shangai ambapo alielekea kusitisha taaluma yake kutokana na majeraha ya mara kwa mara na kutookenakana katika orodha ya 20 bora tangu Mei 2010.

Hivi ndivyo ilivyo orodha ya ATP Octoba 15:
1. Roger Federer (SUI) 12165 pts
2. Novak Djokovic (SRB) 11970
3. Andy Murray (GBR) 7690
4. Rafael Nadal (ESP) 6995
5. David Ferrer (ESP) 5360
6. Tomas Berdych (CZE) 4840 (+1)
7. Jo-Wilfried Tsonga (FRA) 4810 (-1)
8. Juan Martin Del Potro (ARG) 3670
9. Janko Tipsarevic (SRB) 3265
10. Juan Monaco (ARG) 2775
11. John Isner (USA) 2565 (+1)
12. Nicolas Almagro (ESP) 2435 (-1)
13. Richard Gasquet (FRA) 2415
14. Marin Cilic (CRO) 2370 (+2)
15. Milos Raonic (CAN) 2335 (-1)
16. Kei Nishikori (JPN) 2000 (-1)
17. Stanislas Wawrinka (SUI) 1955
18. Philipp Kohlschreiber (GER) 1830 (+1)
19. Gilles Simon (FRA) 1815 (-1)
20. Tommy Haas (GER) 1727 (+1)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.