Pata taarifa kuu
HAKI-MAANDAMANO

Iran: Mtu mmoja ahukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya mauaji

Mahakama ya Iran imetangaza siku ya Ijumaa kuwa imemhukumu kifo mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kuua watu kadhaa wakati wa maandamano mwezi Novemba dhidi ya kifo cha Mahsa Amini.

Abbas Kurkuri amepatikana na hatia ya kuwaua mnamo Novemba 16 "kwa silaha ya kijeshi" watu saba huko Izeh, katika jimbo la Khuzestan (kusini-magharibi), kulingana na uamuzi huu ambao anaweza kuupinga mbele ya Mahakama ya Juu.
Abbas Kurkuri amepatikana na hatia ya kuwaua mnamo Novemba 16 "kwa silaha ya kijeshi" watu saba huko Izeh, katika jimbo la Khuzestan (kusini-magharibi), kulingana na uamuzi huu ambao anaweza kuupinga mbele ya Mahakama ya Juu. © réseaux sociaux
Matangazo ya kibiashara

Mamia ya watu, ikiwa ni pamoja na makumi ya maafisa wa polisi waliuawa wakati wa maandamano haya. Maelfu ya waandamanaji pia walikamatwa, wakishutumiwa na mamlaka kwa kushiriki katika "machafuko" yaliyochochewa na Israeli na nchi za Magharibi.

Miongoni mwao, Abbas Kurkuri, amehukumiwa kifo siku ya Ijumaa kwa "vita dhidi ya Mungu kwa silaha ya kutisha na kuua watu" pamoja na "ufisadi duniani", kulingana na hukumu iliyochapishwa kwenye tovuti rasmi ya vyomvo vya sheria nchini Iran. 

Bw. Kurkuri amepatikana na hatia ya kuwaua mnamo Novemba 16 "kwa silaha ya kijeshi" watu saba huko Izeh, katika jimbo la Khuzestan (kusini-magharibi), kulingana na uamuzi huu ambao anaweza kuupinga mbele ya Mahakama ya Juu.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.