Pata taarifa kuu
PAKISTANI-USALAMA

Pakistani: Maafisa watatu wauawa katika maandamano ya waislamu dhidi ya Ufaransa

Maafisa watatu wa polisi wa Pakistani wameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano huko Lahore, mashariki mwa nchi hiyo na waandamanaji wa vuguvugu la Kiislamu la Tehreek-e-Labaik (TLP), vuguvugu la Kiislamu ambalo limeebndeleza kampeni dhidi ya Ufaransa, serikali ya Pakistani imetangaza.

Wafuasi wa vuguvugu la vuguvugu la Kiislamu la Tehreek-e-Labaik (TLP) lililopigwa marufuku na kuainishwa kama shirika la "kigaidi" na serikali ya pakistan, huko Lahore, Pakistan. , Oktoba 23, 2021.
Wafuasi wa vuguvugu la vuguvugu la Kiislamu la Tehreek-e-Labaik (TLP) lililopigwa marufuku na kuainishwa kama shirika la "kigaidi" na serikali ya pakistan, huko Lahore, Pakistan. , Oktoba 23, 2021. REUTERS - MOHSIN RAZA
Matangazo ya kibiashara

Wafuasi wa TLP, vuguvugu lililopigwa marufuku na kuainishwa kama shirika la "kigaidi" na serikali ya pakistan, wanashutumu uungaji mkono wa Ufaransa kwa haki ya kuchapisha katuni, ikiwa ni Uwa niii na kuchapisha katuni katuniwahwa na kuchapisha katuni katuniwahii na kuchapisha wadi katuni, iki Uwa ni pamojaii na kuchapisabao wadi katuniwahwa na kuchapisabia anazuiliwa na mamlaka tangu mwezi Aprili.

Wafuasi wa TLP wameendemlea kuandamana kuonyesha hasira zao dhidi ya namna Ufaransaishugulikia michoro ya vibonzo vya Mtume Mohammed.

Maandamano kama hayo yalifanyika mwaka jana katika miji mikuu mbalimbali ya Kiislamu, hususan Gaza katika mamlaka ya Palestina, mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, na mji mkuu wa Pakistan, Islamabad.

Waandamanaji wakitaka kuungana na kile walichokiita ”mashambulizi ya halifu” yanayomlenga mtume.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.