Pata taarifa kuu
AFGHANISTAN-USALAMA

Marekani yaendelea na mazungumzo na Taliban Doha

Wajumbe wa Marekani wanaendelea na mazunguzo na wawakilishi wa kamati ya kisiasa ya Taliban iliyoko Doha nchini Qatar, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imebaini, baada ya Taliban kuuteka mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

El portavoz del Departamento de Estado, Ned Price, el 2 de agosto de 2021 en Washington
El portavoz del Departamento de Estado, Ned Price, el 2 de agosto de 2021 en Washington Brendan Smialowski AFP/Archivos
Matangazo ya kibiashara

Pamoja na kukimbia kwa rais wa Afghanistan Ashraf Ghani kando na kuwasili kwa Taliban katika mji mkuu, mazungumzo sasa yanalenga kuzuia vurugu badala ya kujadili makubaliano ya amani, kama ilivyokuwa, Aamesema msemaji wa Wizara ay mambo ya Nje ya Marekani.

Alipoulizwa ni serikali gani ambayo Marekani itaunga mkono kama halali nchini Afghanistan, Ned Price amesema Washington inashauriana na jamii ya kimataifa, akibainisha kuwa hakuna makabidhiano rasmi yaliyofanyika jijini Kabul.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.