Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Video inayoonesha wanajeshi wa DRC wakiwa kambini na wala si waasi wa M23

Imechapishwa:

Moja ya habari ya uongo tunaangazia wiki hii ni video inayoonesha wanajeshi wa Kongo wakiwa kambini na wala si waasi wa M23.

Video ya kupotosha kuwa waasi wa M23 wanasherehekea wakiwasubiria wanajeshi wa SADC Mashariki mwa DRC.
Video ya kupotosha kuwa waasi wa M23 wanasherehekea wakiwasubiria wanajeshi wa SADC Mashariki mwa DRC. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haswa Mashariki, ni eneo ambalo limeshuhudia vurugu kwa miaka kadhaa sasa baada ya kuibuka tena kwa kundi la waasi wa M23 ambalo limedhibiti baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kivu Kaskazini.

 

Ni katikati ya mwezi Februari ambapo nchi ya Afrika Kusini ilitangaza kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika eneo hilo, wakiwa ni wa kwanza tangu nchi hiyo kutuma wanajeshi wake nchini humo mwishoni mwa mwaka jana.

 

Sasa video ya hivi maajuzi ilidai kuonesha wapiganaji hao wa M23 wakisherehekea wakati wakiwasubiri wanajeshi wa ya Afrika Kusini. Lakini dai hili ni la uongo.

 

Chapisho hili linajumuisha video ambayo inaonesha kundi la wanaume waliovalia sare ya kijeshi wanaonekana wakisherehekea

Vipindi vingine
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:16
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.