Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Madai ya kupotosha ya Urusi kuwa mamluki wa kigeni wanaisaidia Ukraine

Imechapishwa:

Ripoti ya kutilia shaka kutoka ubalozi wa Urusi kuwa kuna mamluki wa kigeni wanaopigana kwa ajili ya Kyiv.

Ripoti ya kutilia shaka kutoka ubalozi wa Urusi kuwa kuna mamluki wa kigeni wanaopigana kwa ajili ya Kyiv.
Ripoti ya kutilia shaka kutoka ubalozi wa Urusi kuwa kuna mamluki wa kigeni wanaopigana kwa ajili ya Kyiv. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Kwenye mtandao wa X, ubalozi wa Urusi nchini Afrika Kusini mnamo Aprili 9, ulisambaza habari kuhusu madai ya ukatili uliofanywa na mamluki wa kigeni wanaoipigania Ukraine. Hata hivyo, maudhui haya yanatoka kwa tovuti ya habari ghushi na tunapata picha zinazotumiwa katika muktadha tofauti.

Ili kuunga mkono matamshi yake, ubalozi huo unatoa nakala kutoka kwa tovuti inayojionyesha kama gazeti la The Boston Times. Na msikilizaji, chanzo hiki si cha kuaminika: gazeti la Boston Times linatumia jina la gazeti ambalo halipo tena na tovuti yake inaonekana kuwa ya uwongo.

Vipindi vingine
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:16
  • 10:17
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.