Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Video za kupotosha kuwa mtali alishambuliwa vibaya nchini Sudan Kusini

Imechapishwa:

Wiki hii tunaangazia Machapisho ya kupotosha ambayo yanasambaza picha zinazodai kuwa mtalii alipigwa vibaya sana nchini Sudan Kusini.

Madai na video za kupotosha kuwa mtali wa kigeni alipigwa vibaya zaidi hadi kulazwa hospitalini nchini Sudan Kusini.
Madai na video za kupotosha kuwa mtali wa kigeni alipigwa vibaya zaidi hadi kulazwa hospitalini nchini Sudan Kusini. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Picha halisi ni za muongoza watalii wa Sudan Kusini akipigana mweleka mwepesi na mtali mzungu kuonyesha mchezo huo maarufu katika eneo hilo.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.