Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Sauti iliokarabatiwa kudai Donald Trump anamuunga mkono Jacob Zuma

Imechapishwa:

Sauti iliyobadilishwa ikidaiwa kuwa yake aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, anayeunga mkono Jacob Zuma katika uchaguzi wa Afrika Kusini.

Sauti iliyobadilishwa ikidaiwa kuwa yake aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, anayeunga mkono Jacob Zuma katika uchaguzi wa Afrika Kusini.
Sauti iliyobadilishwa ikidaiwa kuwa yake aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, anayeunga mkono Jacob Zuma katika uchaguzi wa Afrika Kusini. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Video hii inamuonesha aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump akiwaraia wapiga kura nchini Afrika Kusini, kukichagua chama kipya cha upinzani chake rais wa zamani Jacob zuma. Ukweli ni kuwa video hii imebuniwa kwa kutumia akili mnemba au akili bandia.

Vipindi vingine
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:17
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.