Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Taarifa za kupotosha kuwa Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF

Imechapishwa:

Tumeangazia taarifa inayodai kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya DRC Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF baada ya kutokea mvutano kati yake na kocha wa Morocco. Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna adhabu iliotolewa dhidi ya mchezaji huo.

Taarifa za kupotosha kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya DRC Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF
Taarifa za kupotosha kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya DRC Chancel Mbemba ataadhibiwa na CAF © FMM
Vipindi vingine
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:16
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.