Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Juhudi za kimataifa na za kikanda zaendelea kurejesha Bazoum Niger

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia juhudi za kikanda na za kimataifa kuendelea ili kulaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger na kutaka kurejeshwa kwa utawala wa kiraia, Umoja wa mataifa ulikaribisha hatua ya Kenya kukubali kuongoza kikosi cha ulinzi huko Haiti, Siasa za DRC kuelekea Uchaguzi wa desemba 20, Sudan na kwengineko duniani, kwa hayo na mengine mengi ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka

Bola Ahmed Tinubu, wa pili kutoka kulia, Rais wa Nigeria na mkuu wa Ecowas, alipokutana na viongozi wengine wa Afrika Magharibi kwa mazungumzo ya mgogoro wa Niger. Abuja Julai 30, 2023.
Bola Ahmed Tinubu, wa pili kutoka kulia, Rais wa Nigeria na mkuu wa Ecowas, alipokutana na viongozi wengine wa Afrika Magharibi kwa mazungumzo ya mgogoro wa Niger. Abuja Julai 30, 2023. AP - Chinedu Asadu
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.