Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wizara ya mambo ya ndani yasitisha shughuli za CNL Burundi, msako makazi ya Katumbi DRC

Imechapishwa:

Hatua ya rais wa Rwanda Paul Kagame kufanya mabadiliko katika vyombo vya usalama na jeshi nchini mwake, viongozi wa COMESA wakutana jijini Lusaka nchini Zambia, msako mkali ulifanyika katika makazi ya Moise Katumbi na mshauri wake nchini DRC, tumeangazia yaliyojiri nchini Kenya, Uganda, na hali ya mapigano kule Sudan Khartoum, na pia Afrika magharibi na kwengineko duniani! Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza mengi zaidi

Agathon Rwasa akizungumza na wanahabari baada ya kuwasilisha ombi lake katika mahakama ya kikatiba mjini Bujumbura tarehe 28 Mei 2020.
Agathon Rwasa akizungumza na wanahabari baada ya kuwasilisha ombi lake katika mahakama ya kikatiba mjini Bujumbura tarehe 28 Mei 2020. AFP - -
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.