Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Hali ya usalama nchini Sudan yaboreka, mkuu wa jeshi la EAC DRC forces arejea Nairobi

Imechapishwa:

Makala imeangazia hali inavyoendelea nchini Sudan baada ya usitishwaji wa mapigano uliokubaliwa na pande zinazokinzana, ziara ya rais wa Rwanda Paul Kagame nchini Tanzania,hali ya usalama wa mashariki kule DRC, na tukio la moto kwenye gereza  la Bukavu, mkoani Kivu kaskazini, nchini Kenya Kulifukuliwa miili kadhaa ya wakristo waliokufa wakifunga baada ya mchungaji wao kuwaaminisha kufunga hadi kufa ili waonane na YESU,Tumeangazia yaliyojiri pia katika eneo la afrika magharibi na kwengineko duniani,

Muonekano wa gereza la Kober, mjini Khartoum, Sudan, Juni 2019.
Muonekano wa gereza la Kober, mjini Khartoum, Sudan, Juni 2019. AFP - EBRAHIM HAMID
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.