Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Maandamano ya upinzani nchini Kenya yashika kasi, Uganda yatuma wanajeshi wake DRC

Imechapishwa:

Kubwa katika makala hii ni kuhusu maandamano ya upinzani nchini Kenya, ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Tanzania, wiki hii wanajeshi wa Uganda waliwasili kwenye mji wa Bunagana mashariki mwa DRC, lakini pia muswada wa sharia unaohusu uraia kwa mtu anayetakiwa kuwa kwenye wadhifa wa rais  kuzua hisia mseto. Hukumu dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal; Ziara ya mfalme Charles wa 3 wa Uingereza huko Ujerumani, na mambo mengine...

Polisi akimpiga mwandamanaji ndani ya jengo wakati wa maandamano jijini Nairobi, Kenya, Mei 16, 2016.
Polisi akimpiga mwandamanaji ndani ya jengo wakati wa maandamano jijini Nairobi, Kenya, Mei 16, 2016. REUTERS/Goran Tomasevic
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.