Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

DRC na Uganda zakubaliana kupiga vita waasi wa ADF, Raila Odinga kuwania urais Kenya

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia makubaliano kati ya Uganda na DRC kupambana na waasi wa ADF mashariki ya DRC, huko Kenya waziri mkuu wa zamani na kiongozi wa ODM Raila Odinga atangaza kuwania kiti cha rais katika uchaguzi wa mwakani, na matukio mengine mengi ya juma hili kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati pia kwengineko duniani.

Meja-Jenerali wa jeshi la Uganda Kayanja Muhanga anayesimamia operesheni za kijeshi mashariki mwa DRC, Desemba 8, 2021.
Meja-Jenerali wa jeshi la Uganda Kayanja Muhanga anayesimamia operesheni za kijeshi mashariki mwa DRC, Desemba 8, 2021. AFP - SEBASTIEN KITSA MUSAYI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.