Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Sintofahamu ya usalama wa Sake DRC, siasa za Kenya na tetemeko la uturuki

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kwa sehemu kubwa hasara na maafa yaliyotokana na tetemeko la ardhi kule Syria na Uturuki, hali ya wasiwasi kwenye miji ya Sake na Goma, siasa za Kenya, Rwanda na kwengineko

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na mtu aliyenusurika wakizungumza alipokuwa akizuru katikati ya jiji lililoharibiwa na tetemeko la ardhi la Jumatatu huko Kahramanmaras, kusini mwa Uturuki, Jumatano, Februari 8, 2023.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na mtu aliyenusurika wakizungumza alipokuwa akizuru katikati ya jiji lililoharibiwa na tetemeko la ardhi la Jumatatu huko Kahramanmaras, kusini mwa Uturuki, Jumatano, Februari 8, 2023. AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.