Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Francophonie na mshindi wa tuzo ya RFI prix decouverte
Makala hii imeanzia nchini Kenya ambako wanamuziki kutoka kabila la luo walikusanyika katika bustani ya Alliance Francaise Jijini Nairobi kuadhimisha miaka minne ya kifo cha mwanamuziki Job Seda, kwa jina maarufu kama Ayub Ogada. Kwa kuwa Machi ni mwezi wa La Francophonie ulimwenguni, RFI Kiswahili ilikuwepo hapo Alliance kurekodi vipindi mbali mbali mbele ya wanafunzi wa lugha ya kifaransa. Hatimaye, tutarejelea sehemu ya pili mahojiano ya mshindi wa tuzo ya RFI Prix Découverte 2021, Alesh pamoja na vijisehemu vya tamasha lake huko Paris february 28 2022.07/03/202219:47 -
Kurejea kwa tamasha la Amani Festival Amani huko Goma
Makala haya tunazungumzia kuhusu kurejea kwa tamasha la Amani ama Festival Amani. Na kwenye kipengele cha Utamaduni tunazungumzia kuhusu Utamaduni wa kuandika wosia na ni muda gani sahihi?09/02/202219:36 -
Fahamu historia ya jiji la Kigali nchini Rwanda
Mkala haya yanaangazia historia ya jiji la Kigali nchini Rwanda01/02/202220:42 -
Tamasha la filamu la nchini Rwanda mwaka 2021
Makala haya yaangazia kuhusu tamasha la filamu lililofanyika nchini Rwanda.01/02/202220:23 -
Tamasha la 40 la utamaduni la Bagamoyo nchini Tanzania
Makala haya yanaangazia kuhusu Tamasha la 40 la utamaduni lililofanyika huko Bagamoyo nchini Tanzania. Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali01/02/202220:07 -
Siku ya Kiswahili Duniani baada ya kuidhinishwa na Umoja wa Mataifa
Makala haya hii leo tunaangazia kuhusu hatuwa ya UM kukipa nafasi Kiswahili kwenye Umoja huo na kuiteuwa Julay 7 ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili duniani, na utapata kumskiliza mwanamuziki Red Pen wa nchini Kenya mwenye asili ya DRCongo.01/02/202219:59 -
Historia ya askofu Desmond Tutu nchini Afrika kusini
Makala haya yanaagazia Historiaya askafu wa kanisa Anglicana nchini Afrika Kusini aliewahi kupewa tuzo ya Amani ya Nobel, na namna waskilizaji wa RFI Kiswahili walivyoupokea mwaka mpya, pamoja na taarifa za kifo cha nyota wa Muziki nchini DRCongo Jenerali DEFAO.01/02/202220:16 -
Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika CAN
Katika makala haya Jumapili hii mtangazaji wako Ali Bilali anakueltea Historia ya kombe la Mataifa ya Afrika CAN ambayo msimu huu yanafanyika nchini Cameroon01/02/202220:45 -
Tamasha la kitamaduni la kilimanjaro Mkoani Moshi lilivyoandaliwa na kufana
Makala haya yanazungumzia kuhusu Tamasha la kitamaduni lililoshirikisha Makabila kadhaa huko Kilimanjaro Mkoani Moshi. rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ndie aliekuwa mgeni rasmi. Lakini pia utapata kufahamu kuhusu maandalizi ya album mpya ya Koffi Olomide mfalme wa Rumba wa miaka yote.01/02/202219:59 -
Historia ya binadamu katika Kaunti ya Turkana nchini Kenya
Kuhusu historia na utamaduni, tunaangazia utafiti wa shughuli, asili, na tamaduni ya binadamu zaidi ya miaka Milioni tatu iliyopita, katika êneo la Turkana, nchini Kenya uliofanywa na Profesa Mfaransa Sonia Harmand kwa ushirikiano na Makavazi ya taifa ya Kenya.30/11/202120:08 -
Sehemu ya pili ya makala kuhusu Historia ya ngome Yesu Fort Jesus
Katika sehemu hii ya pili ya makala Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea sehemu ya pili ya Historia ya ngome ya Fort Jesus iliopo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa tamasha la Blu Economy lililofanyika huko Mombasa.16/09/202120:26 -
Warsha ya wiki nzima kuhusu Bleu Economy iliofanyika Mombasa nchini Kenya
Makala haya yanagusia kwa kina zaidi kuhusu warsha ya wiki nzima kuhusu uchumi wa Bleu ilioandaliwa na Alliance Francaise ya Mambasa chini ya ufadhili wa wiazara ya mambo ya nje ya Ufaransa.16/09/202120:09 -
Fahamu historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi
Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali mtaalamu wa maswala ya Historia kupitia idhaa ya Kiswahili ya RFI, anakuletea Historia ya jiji la Bujumbura nchini Burundi.16/09/202120:08 -
Historia ya tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila na desturi
Ambatana naye Ali Bilali kufahamu zaidi tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila la desturi lililofanyika hivi karibuni mkoani Mwanza lililohudhuria na machifu kutoka kila kona ya Tanzania.16/09/202120:06 -
Historia ya Ufalme wa Buganda nchini Uganda
Katika Makala haya, Hillary Ingati anakuletea Historia ya mfalme wa Buganda nchini Uganda16/09/202119:33
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.