Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Makala maalum kuhusu mwezi wa Francophonie sehemu ya tatu
Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu la Franchophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amempokea studioni Julie Briand afisaa kutoka Ubalizi wa Ufaransa jijini Nairobi kuzungumzia mengi zaidi kuhusu la Francophonie, lakini pia utapata kumsikia Elsie Gathonie raia wa Kenya anaesoma huko Ubelgiji anatueleza nini kilichomvutia kusoma Kifaransa na changamoto alizozipata mwanzoni kutokana na mila na tamaduni.15/03/202120:21 -
Makala Maalum kuhusu La Francophonie sehemu ya pili
Katika makala haya mwanahabari wako Ali Bilaki anakuletea sehemu ya pili ya makala maalum kuhusu Historia ya la Francophonie. na kwenye burudani utapata kusikia wimbo wake Vitaa feat Slimane "Ca va ca Viens"09/03/202120:15 -
Historia ya Umoja wa Afrika kuhusu uteuzi wa viongozi na badgeti sehemu ya tatu
Makala haya ya changu chako changu sehemu hii ya tatu, mtangazaji wako nguli wa Historia, utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea sehemu hii ya tatu ambayo ndio ya mwisho kuhusu historia ya Umoja wa Afrika. Unaweza pia kutufollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali03/03/202120:10 -
Historia ya Umoja wa Afrika, kuanzishwa kwake hadi sasa sehemu ya pili
Hii ni sehemu ya pili ya Makala kuhusu Historia ya Umoja wa Afrika, ambapo katika sehemu hii utapata kusikia kuhusu nchi wanachama wa Umoja huo lakini pia kurejea kwa Morroco katika Umoja baada ya kujiondoa mwaka 1985 kufuatia viongozi wa AU kuitambuwa sahara magharibi kama nchi huru.03/03/202120:10 -
Makala maalum ya rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie sehemu ya kwanza
Mtangazaji wako nguli wa maswala ya utamaduni na Muziki Ali Bilali anakuletea Makala maalum kuhusu Jumuiya ya nchi zinazo zungumza lugha ya kifaransa maharufu la francophonie. kwenye kipengele cha le parler francophone utamsikia msichana kutoka nchini kenya anaesoma jijini paris, huku burudani ya muziki wa kifaransa ukihitimisha makala. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali03/03/202119:59 -
Historia ya Utawala wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyaya sehemu ya kwanza
Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Utawala wa rais wa zamani Pierre Buyoya ambae amefariki dunia juma hili huko Paris ambako alikuwa amesafirishwa kwa ajili ya matibabu.30/01/202120:18 -
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Makala Changu chako chako changu juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ilikuwaje hadi mataifa hayo kuungana, hii kiwa ni sehemu ya kwanza. na kwenye kiupengele cha utamaduni utamsikia raia wa Ubelgiji akizungumzia kuhusu utamaduni wa kutengezneza vipuri kwa kutumia plastiki. usikosi pia kutufollow kwa isntagram kwa kuandika @billy_bilali20/01/202138:45 -
Ujio wa rais Pierre Nkurunziza madarakani
Katika sehemu hii ya tatu ya Makala kuhusu utawala wa rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea historia kuhusu ujio wa rais Pierre Nkurunziza madarakani na uongozi wake hadi kufikwa na umauti. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali15/01/202120:12 -
HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya mapinduzi ya Zanzibar, kabla ya kukuletea Historia ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, sikiliza na makinikia zaidi. usiikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali09/01/202120:19 -
Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC
Changu chako chako changu, juma hili imeangazia chimbuko la kundi la waasi wa kiislamu wa Uganda, Allied Democratic Forces (ADF) lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia mashariki mwa DRCongoWaasi hao wanadaiwa kutekeleza mauaji ya mara kwa mara ya raia mashariki mwa nchi hiyo, miaka kadhaa baada ya kundi hilo kuanzisha uasi kwa lengo la kuung’oa utawala wa rais Yoweri Museveni mnamo miaka ya 1990 lakini ulifurushwa na kuingia DRC.ADF imeendesha vita vya kikatili dhidi ya wakaazi wa Kongo Mashariki na linatajwa kuwa kundi la kigaidi na Umoja wa Mataifa.Kupata mengi zaidi, unagana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka25/11/201920:53 -
Historia ya chimbuko la mitandao ya kijamii
Makala ya changu chako chako changu imeangazia kuhusu chimbuko la mitandao ya kijamii, lakini pia athari zake na namna ya kuepukana na udanganyifu katika mitandao hiyo. Katika kipengele cha utamaduni imeangaziwa jamii ya watu wa kabila la wawolowolo katika jimbo la Tanganyika huko DRC na tarativu za ndoa, katika awamu ya pili tutajaribu kuonyesha madhara yatokanayo na mitandao ya kijamii18/11/201919:12 -
Chimbuko la taifa la Israeli, Kenya na Ufaransa zakubaliana kukuza vipaji kuhusu uchoraji wa vibonzo
Katika makala hii tumangazia chimbuko la taifa la Israeli, wakati katika utamaduni tumeangazia makubaliano yaliyoafikiwa kati ya Kenya na Ufaransa kupitia ubalozi wake ulioko jijini Nairobi kuhusu kukuza vipaji mbali mbali kuhusu uchoraji wa vibonzo, uteuzi wa DRC kuwa mwenyeji wa michuano ya Francophonie, na kumalizia na muziki04/11/201920:33 -
Mkutano wa Kimtaifa wamaendeleo ya kiuchumi baina ya Japan na Afrika
Katika Makala haya utapata kufahamu kuhusu historia ya mkutano wa Kimataifa wa Tokyo juu ya maendeleo ya Afrika TICAD. (Tokyo International Conference on Africa Developpment). kwenye kipengele cha utamaduni utafahamu utamaduni wa Ndoa kwa mila za Warundi. Na kwenye kipengele cha Muziki, utaipata Burudani ya Muziki wa Marehemu DJ Arafat (l'Enfant de Dieu) Usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika billy_bilali18/09/201920:20 -
Sehemu ya II ya makala kuhusu Mugabe, kuagwa kwake
Awamu hii ya pili ya Makala kuhusu Mugabe, inazungumzia kuhusu zoezi la kuagwa kwa muili wake jijini Harare Septemba 14 ambapo ma rais kadhaa wa sasa na waliostaafu wamehudhuria shughuli hiyo. Wote waliopewa nafasi ya kuzungumza wamemsifu Mugabe na kumuita shujaa wa harakati za kulikomboa bara la Afrika.17/09/201920:27 -
Historia ya aliekuwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe
Makala haya, Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe alietangazwa kuwa baba wa taifa wa Zimbabwe na rais wa sasa wa nchi hiyo siku moja baada ya kifo chake. Ambatana nami mwanzo hadi tamati ya makala haya17/09/201920:45
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.