Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kina Mama kutoka kundi la Warumba wa Nyakanga nchini Burundi waeleza kuhusu utamaduni wao

Imechapishwa:

Katika Makala haya Mtangazaji wako Ali Bilali wa idhaa ya Kiswahili ya RFI amezungumza na kina Mama kutoka kundi la Warumba wa Nyakanga, ambao hutoa burudani ya kuimba kwa kutumia ngoma maharufu "Msondo" huku wakitoa pia somo la mafunzo ya kumfunda mwali katika utamaduni wa waswahili wa Buyenzi. Na kwenye Muziki utampata Kijana Khalid msanii wa miondoko ya Taarab kutoka nchini Burundi mwenye lengo la kuinua muziki huo nchini Burundi.

Warumba wa Nyakanga kutoka nchini Burundi wakitumbwiza jukwaani
Warumba wa Nyakanga kutoka nchini Burundi wakitumbwiza jukwaani © @Ali Bilali
Matangazo ya kibiashara

Usikosi pia kumfollow mtangazaji wako kwenye mitandao ya kijamii instagram na facebook billy_bilali

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.