Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Makala kuhusu tuzo ya Ghislaine Dupont na Claude Verlon ambayo hutolewa kila Novemba 02

Imechapishwa:

Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya change chako chako chako change, ambapo Jumapili hii nakuletea ufafanuzi kidogo kuhusu tuzo ya Guislaine Dupont na Claude Verlon ambayo huandaliwa kila Novemba 2, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutazungumzia kuhusu shindani la uandishi kwa waalimu wa lugha ya Kifaransa na kwenye Muziki tutamzungumzia rapa kutoka Marekani Takeoff ambae ameuawa juma hili kwa kupigwa risase Mimi naitwa Ali Bilali

Esther Senpa Blaksemdi (kushoto) na Henintsoa Tiana Miranto Rakotomalala (kulia), washindi wa udhamini wa Ghislaine Dupont na Claude Verlon 2022 pamoja na Cécile Mégie, mkurugenzi wa RFI. © RFI
Esther Senpa Blaksemdi (kushoto) na Henintsoa Tiana Miranto Rakotomalala (kulia), washindi wa udhamini wa Ghislaine Dupont na Claude Verlon 2022 pamoja na Cécile Mégie, mkurugenzi wa RFI. © RFI © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.